Insiders Language Center ni shule ya lugha inayotoa huduma hii kwa bei nafuu na inayoendeshwa kwa ustadi mkubwa.
Timu Yetu
-
Carlos J. Cornel
Associate Language Helper
-
Lucy H. Msika
Director
-
Meshack L. Leonce
Language Teacher
Karibu kujifunza Kiingereza kwa kuanzia na kozi ya kwanza (Beginner), kozi ya pili (Intermediate), na kozi ya tatu (Advanced). Kabla ya kuanza kozi zetu, tutakufanyia tathmini ya uwezo wako wa kuongea Kiingereza kutoka kwa Mtaalamu wa Lugha (English Native Speaker) BILA MALIPO YOYOTE.
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.